• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Idara ya Afya
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Ugavi na Manunuzi
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Ugavi na Manunuzi

Kitengo hiki kina lengo la kuleta ufanisi na kutoa huduma kwenye nyanja za manunuzi, utunzaji na usambazaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zinazohitajika kwa ajili ya Halmashauri ya Mji wa Tarime. Kitengo hiki kinaongozwa na Afisa Ugavi ambaye anawajibika kwa Katibu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji.

Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

  • Kushauri uongozi juu ya masuala yanayohusiana na manunuzi ya bidhaa na huduma na mchakato mzima wa kusimamia na kudhibiti mwenendo wa bidhaa na huduma katika Mkoa.
  • Kuhakikisha kwamba Halmashauri unafuata/unatii taratibu za manunuzi kulingana na sheria ya Manunuzi ya Umma
  • Kuandaa na kufanikisha utekelezaji wa Mpango wa Mwaka wa Manunuzi kwa ajili ya Halmashauri
  • Kununua, kuhifadhi na kusimamia usambazaji, vifaa na huduma mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya bidhaa na huduma hizo kwenye Halmashauri
  • Kuhakikisha kunakuwepo na utunzaji, uhifadhi sahihi na usambazaji wa mahitaji ya ofisi wa kutosheleza na kwa wakati
  • Kutunza na Kuboresha kumbukumbu ya vifaa na rasilimali za serikali/za ofisi
  • Kushughulikia uratibu wa kikao cha bodi ya manunuzi ya Halmashauri kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013
  • Kuteketeza vifaa/vitu ambavyo havihitajiki

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI April 03, 2017
  • ORODHA YA WAZABUNI WALIOTEULIWA May 24, 2017
  • TANGAZO LA UKODISHAJI WA JENGO LA MAMLAKA YA MAJI, HALMASHAURI YA MJI WA TARIME November 10, 2017
  • TANGAZO LA AJIRA (COMPUTER DATA CLERK) November 16, 2017
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa ya Wilaya CCM yafanya ziara kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM

    September 26, 2018
  • Pikipiki Mpya kwa Maafisa Elimu Kata

    September 25, 2018
  • Mkutano Maalum wa Baraza la Dharura la Madiwani

    September 20, 2018
  • Mwenge wa Uhuru Wafana Halmashauri ya Mji wa Tarime

    September 10, 2018
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

Siku ya Mazingira Duniani Kufanya Butiama Kitaifa
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.