• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

KAMPENI YA MAGEUZI YA KIFIKRA NA MTAZAMO YAZINDULIWA TARIME

Posted on: April 14th, 2025

Naibu Katibu mkuu wa maendeleo ya jamii na makundi maalum kutoka Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum Wakili Amon Mpanju amezindua rasmi kampeni ya Kitaifa ya mageuzi ya kifikra na mtazamo ya kuwafanya wananchi kuwa kitovu cha maendeleo

Uzinduzi huo umefanyika leo katika Halmashauri ya Mji Tarime na kufuatiwa na semina kwa viongozi mbalimbali wa Wilaya hiyo huku Wakili Mpanju akiwataka viongozi hao kutoa ushirikiano ili kampeni hiyo iwafikie wananchi wote

"Tutapita Kata zote za Wilaya hii niwaombe Viongozi tushirikiane ili tueze kulifanikisha hili kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ametuagiza tufikishe elimu hii kwa wananchi ili wajue wao ni sehemu ya maendeleo" amesema Mpanju

Aidha, Wakili Mpanju amesema lengo kuu la Kampeni hiyo nchi ni kuhakikisha wananchi wanatumia fursa na rasilimali zilizopo kwenye mazingira yake kwaajili ya kujiletea maendeleo yake binafsi na Taifa kwa ujumla na kampeni hiyo itafika mikoa yote ya Tanzania Bara

kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele amewashukuru wizara hiyo kwakuichagua Wilaya ya Tarime kuanzia kampeni hiyo na kuwaahidi kuwapa ushirikiano ili lengo kampeni hiyo litimie

Kampeni hiyo imeanza leo na itahitimishwa kwa Wilaya ya Tarime tarehe 18/04/2025 imebeba kauli mbiu ya “ Mama samia na maendeleo hadi kieleweke”

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO KWA VIKUNDI VYA VIJANA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU September 30, 2024
  • TANGAZO LA NAMNA YA KUOMBA VIBANDA NA VIZIMBA SOKO KUU JIPYA TARIME May 13, 2025
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI MAFUNZO YA UOMBAJI WA VIBADANDA SOKO KUU TARIME

    May 15, 2025
  • MADIWANI WARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA MIRADI MBALIMBALI TARIME MJI

    May 15, 2025
  • WAZAZI WAHIMIZWA KUENDELEA KUCHANGIA CHAKULA MASHULENI

    May 10, 2025
  • MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 70 HALMSHAURI YA MJI TARIME

    May 08, 2025
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

DAS TARIME AITAKA TARIME TC KUSIMAMIA USAFI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.