• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Tarime Town Council
Tarime Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mtaa Halmashauri ya Mji wa Tarime

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Chimbuko / Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Raslimali Watu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Usimamamizi wa Taka na Usafi na Mazingira
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Kitengo cha Michezo Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Bomani
      • Kata ya Kenyamanyori
      • Ketare
      • Nkende
      • Nyamisangura
      • Nyandoto
      • Sabasaba
      • Turwa
    • Wajumbe wa Kamati
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Repoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

MBUNGE KEMBAKI AKABIDHI MADAWATI 70 HALMSHAURI YA MJI TARIME

Posted on: May 8th, 2025

Mwenezi wa Chama Chama Mapinduzi Wilaya Tarime Bw. Malema Sollo kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Mhe. Mwita Michael Kembaki amekabidhi madawati 70 kwa shule sita za msingi Halmashauri ya Mji Tarime

Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika shule ya Msingi Turwa ambapo amewahakikishia Mbunge ataendelea kuwa sehemu ya maendeleo ya elimu katika Halmashauri hiyo

"Mhe Mbunge katoa haya madawati ili watoto wetu wasome vizuri na amehaidi ataendela kujitoa ili shule zetu ziwe za mfano hivyo pokeeni na mambo mazuri yatazidi kuja" Amesema Malema

Kwa upande wake kaimu Afisa elimu Msingi Halmashauri ya Mji Tarime Bw. Mathayo Hamis kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mji amemshukuru Mbunge Kimbaki kwakuendelea kusaidia miundombinu mbalimbali ya elimu

"Kwa niaba ya Mkurugenzi tunashukuru kwa madawati haya tutayatunza vizuri ili yawasaidie watoto wengi tunazidi muomb Mhe Mbunge asichoke azidi kusaidia jimbo lake hasa katika eneo hili la elimu" amesema Mathayo

Madawati hayo yamegharimu jumla ya kiasi cha TZS Milioni 4.9

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU MAOMBI YA MKOPO UNAOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 30, 2025
  • TANGAZO LA VIWANGO VIPYA VYA ADA YA TAKA KUANZIA MWEZI JANUARI MWAKA 2026 HALMASHAURI YA MJI TARIME December 30, 2025
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI WA VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA January 22, 2026
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • TARIME MJI YAENDESHA ZOEZI LA UHAKIKI, USAJILI NA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA BIMA YA AFYA KWA WOTE KWA TASAF AWAMU YA KWANZA.

    February 14, 2026
  • VIKUNDI VYA MAENDELEO TARIME MJI VYAPIGWA MSASA

    February 06, 2026
  • MADIWANI TARIME MJI WAPITISHA BAJETI YA BIL 37.9 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 04, 2026
  • "UVAMIZI WA ARDHI NI KOSA NA NI KITU AMBACHO HAKIKUBALIKI KISHERIA " DC GOWELE

    January 27, 2026
  • Angalia yote

Picha ya Mwendo

MAELEKEZO YA DC KWA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGAZI YA MITAA TARIME MJI
Picha za video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za Haraka
  • Hati ya Mshahara (Watumishi Portal)
  • Instagram account

Viunganishi Linganifu

  • OR- TAMISEMI
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  • Wizara ya Nishati na Madini.
  • Tovuti ya Mkoa wa Mara
  • Tovuti Rasmi ya Rais

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HRO JOSEPH HAYMO

    Anuani ya Posta: 45, Tarime

    Simu: 0784635368

    Simu ya Mkononi: 0784635368

    Barua Pepe: utawala@tarimetc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©Tarime Town Council . All rights reserved.